Kiswahili

Kiswahili is an interdisciplinary international journal devoted to the study of Kiswahili language, linguistics and literature. Its main aim is to gather and disseminate under a single cover a wide variety of research and discussion of fundamental concern to all those scholars who have an interest in Kiswahili language, linguistics and literature.


This journal can be accessed at the African Journals Online at the following link http://www.ajol.info/index.php/ksh and Journal issue list at the following link http://www.ajol.info/index.php/ksh/issue/archive


KAMATI YA UHARIRI

Prof. D.P.B. Massamba                  -              Mhariri Mkuu

Bw. F.N. Joster                               -              Mhariri Msaidizi

Dkt. E. Mosha                                 -              Mkurugenzi, TATAKI

Dkt. S.S. Sewangi                           -              Katibu Mtendaji BAKITA

Dkt. J.E. Lyimo                                -              Mudiri, FAMU

Dkt. A. Korogoto                              -              Mudiri, Idara ya Fasihi

 

WASHAURI WA WAHARIRI

Prof. D.J. Mkude                              -              Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Prof. H. Batibo                                   -              Chuo Kikuu cha Botswana

Prof. R. Mukama                              -              Chuo Kikuu cha Makerere

Prof. F’ Topan                                    -              Chuo Kikuu cha London

Prof. K. King’ei                                  -              Chuo Kikuu cha Kenyatta

Prof. E. Kezilahabi                            -              Chuo Kikuu cha Botswana

Prof. Doz. Dkt. Sc. K. Legere        -              Chuo Kikuu cha Viena

 

ADA KWA MWAKA / ANNUAL (SUBSCRIPTIONS)

Afrika Mashariki/East Africa                        Tshs. 5000

Kwingineko/Elsewhere                                 US$ 60.00(kwa ndege/airmail)

 

Kwa taarifa kuhusu ada na malipo wasiliana na Mkurugenzi. Taarifa kuhusu miswada ya Makala wasiliana na Mhariri wa Jarida la KISWAHILI.

 

Makala haya yanapatikana pia Mkondoni kupitia Wavuti ya Taasisi www.iks.udsm.ac.tz na pia katika Majarida ya Kiafrika Mkondoni www.ajol.info

 

Kwa mawasiliano hayo tumia anwani ifuatayo:

 

Please address all inquiries regarding subscriptions to the Director and all editorial matter to the Editor, Kiswahili, at the following address:

                Taasisi ya Taaluma za Kiswahili,

                Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,

S.L.P. 35110,

DAR ES SALAAM, Tanzania

b-pepe: www.ikr.udsm.ac.tz

nukushi: +255222410343

 

Maoni yaliyomo katika Jarida hili ni ya waandishi wa Makala, na si lazima yakubaliane na yale ya Wahariri au ya Halmashauri ya Taasisi ya Taaluma za Kiswahili.

 

[The views expressed in this journal are those of the authors and are not necessarily in accord with those of the Editor and/or the Board of the Institute of Kiswahili Studies].