Uhusiano wa Kiswahili na Kiingereza katika Muktadha wa Kimandhari-Lugha Nchini Tanzania: Uchunguzi Kifani wa Eneo la Mlimani City Jijini Dar es Salaam

Authors

  • Rhoda Peterson Kidami University of Dar es Salaam

Abstract

Various languages are used in Tanzanian linguistic landscape. In addition to others, Kiswahili and English are the main languages that are dominant in terms of usage. Sometimes, these two languages are code-mixed on various linguistic levels, such as on morphemes, words, and sentences. However, language relationship, particularly in the context of written texts, does not end at linguistic levels only. Appearance of writings can also give various relationship information between one language and the other. The main objective of this study was to explore how Kiswahili and English languages relate on the context of linguistic landscape using linguistic features such as morphemes, words, and sentences; and non-linguistic features such as language arrangement within texts, colour usage, and font size. Data which has been used to explore relationship of the two languages were commercial advertisements, which used both Kiswahili and English language around Mlimani City area in Dar es Salaam. Data was analyzed using multimodality approach as proposed by Sebba (2012). Sebba proposes the approach to be used to analyze written texts, particularly those from the multilingual societies. The main argument of the approach is that writings appearance can yield a variety of sociolinguistic information, which cannot be obtained in the spoken texts. Thus, Sebba stresses that analysis of the written texts, particularly those found on language landscapes should include both linguistic features and the appearance of the relevant texts. Results of this study show that Kiswahili and English languages complemented each other content wise on the linguistic landscape within the area of study. Further, other features, such as language arrangement, the use of font size, upper and lower cases, and colour made Kiswahili language more dominant and powerful on the commercial advertisement than English language.

Key words: Linguistic-landscape, multilingualism, code-mixing, Swahili, English

 

IN SWAHILI

Ikisiri

Lugha mbalimbali hutumiwa katika mandhari-lugha ya Tanzania. Pamoja na lugha zingine, Kiswahili na Kiingereza ndizo lugha zinazotawala kimatumizi. Wakati mwingine lugha hizi kuchanganywa katika viwango tofautitofauti vya kiisimu, kama vile mofimu, maneno, na sentensi. Pamoja na hayo, uhusiano wa lugha, hususani katika muktadha wa kimaandishi, hauishii kwenye viwango vya kiisimu pekee. Mwonekano wa maandishi husika unaweza pia kutoa taarifa mbalimbali za kiuhusiano kati ya lugha moja na nyingine. Lengo la makala hii ni kuchunguza jinsi lugha za Kiswahili na Kiingereza zinavyohusiana katika muktadha wa kimandharilugha kwa kutumia vipengele vya kiisimu, kama vile mofimu, maneno na sentensi; na pia vipengele visivyo vya kiisimu, kama vile mpangilio wa lugha katika matini, matumizi ya rangi, pamoja na saizi ya fonti. Data iliyotumika kuchunguza uhusiano wa lugha hizi ni matangazo ya kibiashara yenye matumizi mchaganyiko ya lugha za Kiswahili na Kiingereza katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam. Data ilichambuliwa kwa kutumia mkabala-mseto2 uliopendekezwa na Sebba (2012) kuchanganulia matini-andishi, hususani za kijamiilugha-ulumbi. Msingi wa mkabala huu ni kwamba mwonekano wa maandishi unaweza kutoa taarifa mbalimbali za kiisimujamii, ambazo hazipatikani katika lugha ya mazungumzo. Hivyo, Sebba anasisitiza kuwa uchambuzi wa matini-andishi, hususani zilizopo katika mandhari-lugha uhusishe vipengele vya kiisimu pamoja na mwonekano wa matini husika kwa ujumla. Matokeo ya utafiti huu yanadhihirisha kwamba lugha za Kiswahili na Kiingereza zinakamilishana kimaudhui katika muktadha wa kimandhari-lugha katika eneo la utafiti. Aidha, vipengele vingine kama vile mpangilio wa lugha, matumizi ya fonti, herufi kubwa na ndogo, pamoja na rangi vimeifanya lugha ya Kiswahili ichomoze zaidi na kuonekana kuwa yenye nguvu katika matangazo husika ikilinganishwa na Kiingereza. Maneno ya Msingi: Mandhari-lugha, jamiilugha-ulumbi, uchanganyaji lugha, Kiswahili, Kiingereza.

References

Backhaus, P. 2007. Linguistic Landscapes: A Comparative Study of Urban Multilingualism in Tokyo. Clevedon: Multilingual Matters.

Balige, J.S. 2007. Ubadilishaji Msimbo kama Mbinu ya Ukwezaji wa Staha Bungeni. Kioo cha Lugha, 15: 36-51.

Brock-Utne, B. 2000. Whose Education for All? Recolonization of the African Mind. New York: Falmer Press.

Bwenge, C. 2009. Language Choice in Dar es Salaam ' s Billboards. In F. McLaughlin (ed.), The Languages of Urban Africa, London: Continuum: 152-177.

Bwenge, C. 2009. Linguistic Identity (re)Construction in Electoral Politics: The Case of 2005 Tanzania parliamentary Campaigns. Selected Proceedings of the 39th Annual Conference on African Linguistics: 166-178.

Dailey, R.M., Giles, H. & Lansma, L.L. 2005. Language Attitudes in an AngloHispanic Context: The Role of Linguistic Landscape. Language and Communication 25(1): 27-38.

Edelman, L. 2010. Linguistic Landscape in the Netherlands: A Study of Multilingualism in Amsterdam and Friesland. Amsterdam: Landelijke OnderzoekSchool Taalwetenschap.

Gorter, D. 2006. Introduction: The Study of the Linguistic Landscape as a New Approach to Multilingualism. International Journal of Multilingualism 3(1): 1-6.

Juni, S. & Gross, S. G. 2008. Emotional and Persuasive Perception of Fonts. Perceptual and Motor Skills,106: 35-42.

King ' ei, K. 2010. Misingi ya Isimujamii. Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.

Kress, G. & Van Leeuwen, T. 2006. Reading Images: The Grammar of Visual Design. London: Routledge.

Kress, G. & Van Leeuwen, T. 2002. Colour as a Semiotic Mode: Notes for a Grammar of Colour. Visual Communication 1(3): 343-368.

Sebba, M. 2012. Multilingualism in Written Discourse: An Approach to the Analysis of Multilingual Texts. International Journal of Bilingualism 17(1): 97-118.

Mekacha, R.D.K. 2011. Isimujamii: Nadharia na Muktadha wa Kiswahili. Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.

Mochiwa, Z. 1991. Bifoculism or Unifoculism in Education? A Critical Evaluation of Language Policy in Tanzania. In J. Hutchison (ed.). Issues in Language and Education, Boston: African Studies Centre: 1-21.

Msanjila, Y.P., Kihore, Y.M. & Massamba, D.P.B. 2009. Isimujamii: Sekondari na Vyuo. Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.

Mugo, K.C. & Ongo ' nda, N.A. 2017."Forms of Matrix Language + Embedded Language Formula in Code Switching Instances. International Journal of Academic Research in Business and Social Sciences 7(1): 61 -71.

Muth, S. 2008. Multiethnic but Multilingual as Well? The Linguistic Landscape of Vilnius. Norddeutsches Linguistisches Kollogium 9: 121-141.

Peterson, R. 2014. Matumizi na Dhima za lugha katika Mandhari-lugha ya Jiji la Dar es Salaam. Tasnifu ya PhD (Haijachapishwa), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Petzell, M. 2012. The Linguistic Situation in Tanzania. Moderna Språk 1: 134-144.

Puja, G. 2003. Kiswahili and Higher Education in Tanzania: Reflections Based on Sociological Study from Three Tanzanian University Campuses. In B. Brock-Utne, Z. Desai, and M. Qorro (eds.). Language of Instruction in Tanzania and South Africa. Dar es Salaam: E & D Limited: 113-196.

Roy-Campbell, Z. & Qorro, M. 1997. The Language Crisis in Tanzania: The Myth of English Versus Education. Dar es Salaam: Mkuki na Nyota Publishers.

Scollon, R. & Scollon S.W. 2003. Discourse in Place: Language in the Material world. London: Routledge.

Torkington, K. 2008. Exploring the Linguistic Landscape: The Study of ' Golden Triangle ' in the Algarve, Portugual. Papers in the Lancaster University Postgraduate Conference in Linguistics and Language Teaching 3: 122-145.

TUKI. 2004. Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.

TUKI. 2013. Kamusi ya Kiingereza - Kiswahili (Toleo la tatu). Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.

Vuzo, M. 2002. Pedagogical Implications of Using English as a Language of Instruction in Secondary Schools in Tanzania. (Unpublished M.A Thesis). University of Oslo.

Downloads

Published

2019-02-07