Nadharia za Uhakiki kama Mchakato wa Kutaalamisha Usomaji wa Fasihi

Richard M. Wafula

Abstract


Utunzi na uhakiki wa fasihi ya Kiswahili umepanuka sana katika miongo
mitano iliyopita. Makala haya yananuia kuonyesha dhima ya nadharia
katika kutaalamisha usomaji wa fasihi. Nadharia za uhakiki (na wakati
mwingine za utunzi) zimepevusha usomaji na uhakiki kwa viwango ambavyo
havingeweza kukadirika hapo awali. Kwa njia hii, lugha ya Kiswahili
imeweza kueleza maarifa anuwai kwa viwango vya juu. Nadharia na
mikondo ya uhakiki kama usemezano na udenguzi vimetuwezesha
kuchanganua matini ya kifasihi kwa jicho la upekuzi. Kwa upande
mwingine, changamoto katika utumiaji wa baadhi ya nadharia hizi
zimejitokeza na zinapaswa kutathminiwa katika mazingira ambamo lugha
ya Kiswahili inaendelea kutumiwa kufafanulia ujuzi wowote ule. Makala
haya yanatalii manufaa ya matumizi ya nadharia katika uhakiki na kuweka
wazi matatizo yanayoandamana na matumizi ya baadhi ya nadharia hizo.
Hatimaye, njia mwafaka ya kufuatwa imependekezwa.


Full Text:

PDF

References


Abdalla, A. (1976). Utangulizi wa Mhariri. Katika S. C. Gonga (mh.). Diwani ya

Nyamaume Nairobi: Shungwaya Publishers.

Abdalla, A. (1976). Utangulizi wa Mhariri. Diwani ya Jinamizi (Salim Zakwany).

Nairobi: Shungwaya Publishers.

Abedi, A. (1954). Sheria za Kutunga Mashairi na Diwani ya Amri. Nairobi: East

African Literature Bureau.

Achebe, C. (1988). Hopes and Impediments. London: Heinemann.

Asante, M. (1987). The Afrocentric Idea. Philadhelphia: Temple University Press.

Carby, H. (1996). White Woman Listen! Black Feminism and the Boundaries of

Sisterhood. Katika B. D. Houston & R. Lindeborg (wah.). Black British Cultural

Studies: A Reader. Chicago & London: The University of Chicago Press.

Cabral, A. (1980). Unity and Struggle. London: Heinemann.

Chacha, N. C. (1980). Ushairi wa Abdilatif Abdalla. Tasnifu ya M.A., Chuo Kikuu

cha Nairobi.

Fanon, F. (1977).The Wretched of the Earth (trans. Constance Farrington) Newyork:

Grove Press.

Gikandi, S. (1987). Reading the African Novel. Nairobi: Heinemann.

Hichens, W. (mh.). (1939). The Soul‟s Re-Awakening. London: Sheldon Press.

Hussein, E. (1983). Hatua Mbalimbali za Kubuni na Kutunga Tamthilia Kufuatana

na Misingi ya Ki-Aristotle, Fasihi. Dar es Salaam: TUKI.

Irele, A. (1982). The African Experience in Literature and Ideology. London:

Heinemann.

Irele, A. (1964). A Defence of Negritude. Transition, 13(9-11).

Kazungu, K. (1982). Deviation and Foregrounding in Chosen Swahili Texts.

Unpublished M.A. Thesis, University of Nairobi.

Kezilahabi, E. (1983). Uchunguzi katika Ushairi. Fasihi. Dar es Salaam: TUKI.

Kezilahabi, E. (1990). Nagona. Dar es Salaam: DUP.

Kitsao, J. (1982). An Investigation of Themes in Swahili Literature and Application

of Stylostatistics to Chosen Texts. Unpublished PhD Thesis, University of

Nairobi.

Richard M. Wafula

Knappert, J. (1979). Four Centuries of Swahili Verse. London: Heinemann.

Kuhn, T. (1962, 2005). The Structure and Necessity of Scientific Revolution. Chicago:

University of Chicago Press.

La Guma, A. (1973). In the Fog of the Season‟s End. London :Heinemann.

Madumulla, J. S. (2009). Riwaya ya Kiswahili: Nadharia, Historia na Misingi ya

Uchambuzi. Nairobi: Phoenix.

Mkangi, K. (1995). Walenisi. Nairobi: EAEP.

Mlama, P. (1983). Utunzi wa Tamthilia Katika Mazingira ya Tanzania. Fasihi. Dar

es Salaam: TUKI.

Mlacha, S. A. K. (1991). A Linguistic Study of the Novel. Berlin: Schreiber.

Mazrui, A. (1988). Chembe cha Moyo. Nairobi: East African Educational Publishers.

Mohamed, S. A. (2005). Signs of New Features in the Swahili Novel. Research in

African Literatures, 36(1). Bloomington: Indiana University Press.

Mohamed, S. A. (1999). Towards Defamiliarization and Experimentation:

Kezilahabi‟s Novel, Nagona, and the Future of Swahili Literature. Seminar

Paper Read in Kisumu.

Mohamed, S. (1976). Nyota ya Rehema. Nairobi: Oxford University Press.

Mnyampala, M. (1965). Diwani ya Mnyampala. Nairobi: EALB.

Msami, H. (1982). Utangulizi, Malenga wa Vumba (Boukheit Amana). Nairobi:

Oxford University Press.

Msokile, M. (1993). Misingi ya Uhakiki wa Fasihi. Nairobi: East African Educational

Publishers.

Mulokozi, M. M. & Kahigi, K. K. (1979). Kunga za Ushairi na Diwani Yetu. Dar es

Salaam: Tanzania Publishing House.

Mulokozi, M. M. & Kahigi, K. K. (1995). Malenga wa Bara. Dar es Salaam: Dar es

Salaam University Press.

Mwai, W. (1988). New Trends in Ushairi, Unpublished M.A. Thesis, University of

Nairobi.

Njogu, K. (1997). Mwongozo wa Amezidi. Nairobi: Longhorn.

Njogu, K. & Rocha, C. (1999). Ufundishaji wa Fasihi: Nadharia na Mbinu. Nairobi:

Jomo Kenyatta Foundation.

Nadharia za uhakiki kama Mchakato wa Kutaalamisha Usomaji wa Fasihi 47

Nyerere, J. K. (1968). Freedom and Socialism: A Selection from Writings and

Speeches, 1965-1967. Dar es Salaam: Oxford University Press.

Nyerere, J. K. (1979). Crusade for Liberation. Dar es Salaam: Oxford University

Press.

Ousmane, S. (1960). God‟s Bits of Wood. London: Heinemann.

Rodney, W. (1972). How Europe Underdeveloped Africa. Dare es Salaam: Tanzania

Publishing House.

Sengo, T. S. Y. & Kiango, S. D. (1973). Hisi Zetu. Dar es Salaam: Tanzania

Publishing House.

Sengo, T. S. Y. & KIango, S. D. (1974). Ndimi Zetu. Dar es Salaam: Press & Publicity

Centre.

Senkoro, F. E. M. K. (1982). Fasihi. Dar es Salaam: Press & Publicity Centre.

Senkoro, F. E. M. K. (1988). Ushairi: Nadharia na Tahakiki. Dar es Salaam: DUP.

Senkoro, F. E. M. K. (1987). Fasihi na Jamii. Press & Publicity Centre.

Shihabuddin, C. (1970). Utangulizi, Malenga wa Mvita (Ahmad Nassir). Nairobi:

Oxford University Press.

Shihabuddin, C. (1977).Utangulizi, Malenga wa Mrima (Mwinyi Hatibu

Mohammed). Nairobi: Oxford University Press.

Soyinka, W. (1993). Art Dialogue and Outrage: Essays on Literature and Culture.

London: Methuen.

Steere, E. (1870). Swahili Tales as Told by The Natives of Zanzibar. London: Bell &

Dadley.

P‟ Bitek, O. (1973). Africa‟s Cultural Revolution. Nairobi: Heinemann.

Topan, F. (mh.). (1971). Uchambuzi wa Maandishi ya Kiswahili: Kitabu cha Kwanza.

Nairobi: Oxford.

Topan, F. (mh.). (1977). Uchambuzi wa Maandishi ya Kiswahili: Kitabu cha Pili.

Nairobi: Oxford.

Velten, C. (1995). Swahili Prose Texts. London: Oxford University Press.

Wafula, R. M. & Njogu, K. (2007). Nadharia za Uhakiki wa Fasihi. Nairobi: Jomo

Kenyatta Foundation.

Wafula, R. M. (1989). The Use of Allegory in Shabaan Robert‟s Prose Works.

Unpublished M.A. Thesis, University of Nairobi.

Wamitila, K. W. (2002). Uhakiki wa Fasihi: Vipengele Vyake. Nairobi: Phoenix.

Wamitila, K. W. (2003). Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia. Nairobi: Focus

Books.

Wamitila, K. W. (2008). Kanzi ya Fasihi: Misingi ya Uchanganuzi wa Fasihi.

Nairobi: Vide-muwa.

Wa Thi‟ongo, N. (1986). Decolonising the Mind. London: Heinemann.

Wa Thiong‟o, N. (1998). Penpoints, Gunpoints and Dreams. Oxford: Clarendon.

Werner, A. (1933). Myths and Legends of Bantu. London: Frank Cass.

Zubkova, E. B., Gromov, M. D., Khamis, S. A. M. & Wamitila, K. W. (2009).

Outline of Swahili Literature: Prose Fiction and Drama. Leiden: Brill.


Refbacks

  • There are currently no refbacks.


 [ISSN 0856-9965 (Print)]