UTARATIBU WA KUTATHMINI MAKALA

Shani Omari, Rhoda P. Kidami

Abstract


KIOO CHA LUGHA ni jarida la kimataifa linalopitiwa na wataalamu na kuchapishwa na Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CKD). Jarida linachapisha makala za lugha, fasihi na isimu. Jarida huchapishwa katika juzuu moja kila mwaka. Makala inaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza.

Full Text:

PDF

Refbacks

  • There are currently no refbacks.