TAHARIRI

Kioo Cha Lugha

Abstract


Makala hizi za juzuu la 19 toleo la pili zinahusu mada mbalimbali kuhusiana na lugha na fasihi ya Kiswahili na lugha za Kiafrika. Makala ya Mkomwa inazungumzia uhusiano baina ya silika na utendaji wa wahusika wakuu wa fasihi ya watoto kwa kurejelea riwaya ya Ngoma ya Mianzi (Mulokozi, 1991/2018).

Full Text:

PDF

Refbacks

  • There are currently no refbacks.