Kioo cha Lugha

ENGLISH

KIOO CHA LUGHA is a journal of and on Kiswahili Language and Literature. It aims at gathering and disseminating research information and results whose focus is on Kiswahili language and its oral and written literature. The journal encourages discussion and reviews, especially on contemporary issues that touch on Kiswahili language and literature. Short pieces of fiction and poems are also welcome.The journal is published annually.


This journal can be accessed at the African Journals Online at the following link http://www.ajol.info/index.php/kcl/indexwith University of Dar es Salaam Journals online at the following link: http://journals.udsm.ac.tz/index.php/kcl/index


KISWAHILI

KIOO CHA LUGHA ni jarida kuhusu lugha na fasihi ya Kiswahili. Jarida linalenga kukusanya na kusambaza taarifa na matokeo ya utafiti kuhusu fasihi simulizi na andishi ya Kiswahili na hata lugha nyinginezo. Jarida linasisitiza mijadala na mapitio hususani kuhusu masuala ya kileo kuhusu lugha na fasihi ya Kiswahili. Aidha, jarida pia linapokea matini fupi za kibunilizi na mashairi. Jarida linatoka mara moja kwa mwaka.

Jarida hili linapatikana pia mkondoni kupitia wavuti ya majarida ya Kiafrika Mkondoni AJOL katika http://www.ajol.info/index.php/kcl/index na katika wavuti ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam http://journals.udsm.ac.tz/index.php/kcl/index. Aidha, ikisiri za jarida hili zinapatikana katika Taasisi ya Masomo ya Kiafrika, Chuo Kikuu cha Leiden.


KAMATI YA UHARIRI / EDITORIAL COMMITTEE

Dr. Shani Omari                                 -                  Mhariri Mkuu; University of Dar es Salaam, Tanzania

Dr. Rhoda P. Kidami                          -                  University of Dar es Salaam, Tanzania

Dr. Ernesta S. Mosha                        -                  University of Dar es Salaam, Tanzania

Prof. Mwenda Mbatiah                      -                  University of Nairobi, Kenya

Prof. Katrina D. Thompson                -                  University of Wisconsin, USA

Prof. Odile Racine                             -                  INALCO - Paris, France

Dr. Yuko Abe                                     -                  Tokyo Women's Christian University, Japan

 

KAMATI YA USHAURI / ADVISORY COMMITTEE

Prof. E. Kezilahabi                             -                University of Botswana, Botswana

Prof. Doz. Dr. Sc. K. Legere               -                University of Vienna, Austria

Dr. C. L. Mwita                                    -                University of Kenyatta, Kenya

Prof. M.M. Mulokozi                            -                University of Dar es Salaam, Tanzania

Dr. Uta Reuster-Jahn                          -                University of Hamburg, Germany

Dr. Lutz Diegner                                 -                University of Humboldt, Germany

Dr. Flavia Aiello Traore                        -                University of Napoli, Italy

 

ADA KWA MWAKA

Afrika ya mashariki                            -                 shilingi za Kitanzania 5,000/=

Kwingineko                                        -                 US $ 40 (kwa ndege)

 


Kwa mawasiliano tumia anwani ifuatayo:

 

MHARIRI MKUU,

Kioo cha Lugha,

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili,

Chuo kikuu cha Dar es Salaam,

S.L.P. 35110,

Dar es Salaam, Tanzania.

 

Barua pepe: kioo1995@udsm.ac.tz

 

nukushi: +255222410343

 

[Maoni yaliyomo katika Jarida hili ni ya waandishi wa makala, na si lazima yakubaliane na yale ya wahariri au ya Halmashauri ya Taasisi ya Taaluma za Kiswahili].

 

Please address all inquiries regarding subscriptions to the Director and all editorial matters to the Editor, Kioo cha Lugha, at the following address:

Institute of Kiswahili Studies,

University of Dar es Salaam,

S.L.P. 35110,

Dar es Salaam, Tanzania.

E-mail: kioo1995@udsm.ac.tz

Tel: +255222410343.

 

[The views expressed in this journal are those of the authors and are not necessarily in accord with those of the Editor and/or the Board of the Institute of Kiswahili Studies].