Kioo cha Lugha

ENGLISH

KIOO CHA LUGHA is a journal of and on Kiswahili Language and Literature. It aims at gathering and disseminating research information and results whose focus is on Kiswahili language and its oral and written literature. The journal encourages discussion and reviews, especially on contemporary issues that touch on Kiswahili language and literature. Short pieces of fiction and poems are also welcome.The journal is published annually.


This journal can be accessed at the African Journals Online at the following link http://www.ajol.info/index.php/kcl and Journal issue list at the following link http://www.ajol.info/index.php/kcl/issue/archive

SWAHILI

Jarida hili linapatikana pia Mkondoni kupitia Wavuti ya majarida ya Kiafrika Mkondoni. AJOL katoka http://www.ajol.info/index.php/kcl  na pia katika wavuti ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam www.iks.udsm.ac.tz . Aidha, ikisiri za jarida hili zinapatikana pia katika Taasisi ya Masomo ya Kiafrika, Chuo Kikuu cha Leiden.

Kupata orodha ya Majuzu ya Jarida la Kioo Cha Lugha kupitia Wavuti ya majarida ya Kiafrika Mkondoni. AJOL katokahttp://www.ajol.info/index.php/kcl/issue/archive


KAMATI YA UHARIRI

Dkt. S. Omari                                      -                  Mhariri Mkuu

Dkt. R. P. Kidami                                 -                  Mhariri Msaidizi

Dkt. E.S. Mosha                                  -                 Mkurugenzi, TATAKI

Prof. A. Lihamba                                 -                 Idara ya Sanaa Bunifu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Prof. J. Mbele                                      -                 Idara ya Kiingereza, Chuo Kikuu cha St. Olaf, Marekani

Prof. J.S. Madumulla                           -                Chuo Kikuu cha Iringa

Prof. M. Mbatiah                                  -                 Idara ya Isimu na Lugha za Kiafrika, Chuo Kikuu cha Nairobi

Prof. F.E.M.K. Senkoro                        -                Kituo cha Lugha, Chuo Kikuu cha Namibia

Dkt. E.K. Sekwiha-Gwajima                  -                Idara ya Fasihi ya Kiingereza, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Dkt. S. S. Sewangi                               -                 Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA)

 

WASHAURI WA WAHARIRI

Prof. E. Kezilahabi                             -                Chuo Kikuu cha Botswana, Botswana

Prof. Doz. Dkt. Sc. K. Legere             -                Chuo Kikuu cha Vienna, Austria

Dkt. C. L. Mwita                                  -                Chuo Kikuu cha Kenyatta, Kenya

Prof. M.M. Mulokozi                            -                Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Dkt. Uta Reuster-Jahn                        -                Chuo Kikuu cha Hamburg - Ujerumani

Dkt. Lutz Diegner                               -                Chuo Kikuu cha Humboldt, Berlin, Ujerumani

Dkt. Flavia Aiello Traore                     -                Chuo kikuu cha Napoli, Italia

 

ADA KWA MWAKA

Afrika ya mashariki                           -                 shilingi za Kitanzania 5,000/=

Kwingineko                                        -                 US $ 40 (kwa ndege)

 

Habari za Mkondoni

Jarida hili linapatikana pia Mkondoni kupitia Wavuti ya majarida ya Kiafrika Mkondoni. AJOL katika www.ajol.info  na pia katika wavuti ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam www.iks.udsm.ac.tz . Aidha, ikisiri za jarida hili zinapatikana pia katika Taasisi ya Masomo ya Kiafrika, Chuo Kikuu cha Leiden.

 

Kwa mawasiliano tumia anwani ifuatayo:

 

MHARIRI MKUU,

Kioo cha Lugha,

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili,

Chuo kikuu cha Dar es Salaam,

S.L.P. 35110,

Dar es Salaam, Tanzania.