Submissions

Login or Register to make a submission.

Submission Preparation Checklist

As part of the submission process, authors are required to check off their submission's compliance with all of the following items, and submissions may be returned to authors that do not adhere to these guidelines.
  • The submission has not been previously published, nor is it before another journal for consideration (or an explanation has been provided in Comments to the Editor).
  • The submission file is in OpenOffice, Microsoft Word, RTF, or WordPerfect document file format.
  • Where available, URLs for the references have been provided.
  • The text is single-spaced; uses a 12-point font; employs italics, rather than underlining (except with URL addresses); and all illustrations, figures, and tables are placed within the text at the appropriate points, rather than at the end.
  • The text adheres to the stylistic and bibliographic requirements outlined in the Author Guidelines, which is found in About the Journal.
  • If submitting to a peer-reviewed section of the journal, the instructions in Ensuring a Blind Review have been followed.

Author Guidelines

The journal comes out once a year. We accept papers and articles of scholarly standard written in Kiswahili and English, with clear abstracts. Manuscripts should be typed, double spaced on A4 size paper. Only one side of the page should be used.

 

Three copies of the manuscript should be sent to the editor with a soft copy compatible with word 97-2003 and word 2007.

 

The first page of each article should bear the title of the paper, and the full name (including title / position, academic affiliation, etc. ) and address of the author.

 

The second page should bear the title of the paper and an abstract of not more then 300 words.

 

When mentioning references in the text, cite only the name of the author followed (in brackets) by the date of publication and page(s), e.g. Mwanzo (1985: 22). For all references / bibliography the names should be in alphabetical order, beginning with the last name of the author followed, in brackets, by year of publication (e.g. Massamba, D.P.B. (1982)......)Notes should be numbered and used only for substantive information. These should be separated from the text, and should appear just before the bibliography.

 

Manuscripts will be sent to at least two reviewers and will only be returned if accompanied with a prepaid, self-addressed envelope. Authors of full articles which are accepted for publication will receive a free copy of the journal and ten off prints of their articles.

 

KISWAHILIni jarida la kimataifa la taaluma ya Lugha, Isimu na Fasihi ya Kiswahili. Jukumu lake kuu ni kukusanya na kusambaza maarifa yanayohusu Lugha, Isimu na Fasihi ya Kiswahili yaliyokitwa katika utafiti mpevu.Jarida hili linapatikana pia Mkondoni kupitia Wavuti ya Chuo Kikuu Cha Dar es salaam http://journals.udsm.ac.tz/index.php/kiswahili/index na pia katika Majarida ya Kiafrika Mkondoni https://www.ajol.info/index.php/ksh

Jarida huchapishwa mara moja kwa mwaka. Tunapokea makala yaliyoandikwa kwa Kiswahili na Kiingereza yakiwa yameambatana na ikisiri fupi inayoeleweka. Makala yapigwe chapa kwenye karatasi za mistari ikitengwa kwa kipimo cha nafasi mbili. Upande mmoja tu wa katarasi utumiwe. Mwandishi awasilishe kwa Mhariri nakala tatu ngumu za muswada wake pamoja na nakala moja laini inayotangamana na Word 97-2003 au Word 2007Ukurasa wa kwanza wa makala uonyeshe jina la makala, jina kamili la mwandishi wa makala (ikiwa ni pamoja na wadhifa wake) na anwani yake.

Ukurasa wa pili uonyeshe jina la makala na ufupisho wa makala kwa maneno yasiyodizi 300.Unapotaja marejeo katika matini, taja jina la mwisho la mwandishi likifuatiwa, katika mabano, na mwaka wa chapisho hilo na kurasa zilizorejelewa, k.m. Mwanzo (1985:22). Kwenye orodha ya marejeo au bibliografia majina ya warejewa yapangwe kialfabeti, ukianza na jina la mwisho la mwandishi na kufuatia na mwaka wa kuchapishwa katika mabano (k.m. Massamba, D.P.B. (1982) €¦).Tanbihi zote ziwekewe namba na zitumike pale tu inapobidi. Maelezo ya tanbihi yatolewe kwenye ukurasa wa peke yake kufuatia mwisho wa makala, yaani kabla ya kuorodhesha marejeo.Makala yatatathminiwa na walau wasomaji wawili na yatarejeshwa kwa mwandishi pale tu ambapo gharama za usafirishaji zimelipwa. Waandishi ambao makala yao yatakubaliwa kuchapishwa watapatiwa nakala moja ya Jarida lenye makala yao pamoja na malopoo kumi ya makala.

Privacy Statement

The names and email addresses entered in this journal site will be used exclusively for the stated purposes of this journal and will not be made available for any other purpose or to any other party.