Vol. 87 No. 2 (2024): Kiswahili: Toleo Maalumu la Maadhimisho ya Kiswahili Duniani (MASIKIDU) 2023

					View Vol. 87 No. 2 (2024): Kiswahili: Toleo Maalumu la Maadhimisho ya Kiswahili Duniani (MASIKIDU) 2023

Hili ni Toleo Maalumu kwa ajili  ya makala zilizowasilishwa na zilizoandikwa kwa ajili ya Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani mara baada ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni – UNESCO kutangaza tarehe 7 Julai kuwa ni siku maalumu ya kuadhimisha lugha ya Kiswahili duniani. Kwa hiyo, baadhi ya makala zilizomo katika toleo hili ziliwasilishwa katika maadhimisho ya siku ya Kiswahili duniani Julai 2023 ndani na nje ya Tanzania. Vilevile, baadhi ya makala zilizochapishwa katika toleo hili hazikuwasilishwa popote bali ni mchango wa wadau wa Kiswahili kuhusu maendeleo ya Kiswahili duniani.

Published: 2025-03-07