Tahariri

Abstract

Toleo hili la juzuu la 87 limejumuisha makala zilizowasilishwa katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani – MASIKIDU - 2023. Maadhimisho hayo yalifanyika tarehe 4 Julai 2023 ambapo wanazuoni na wapenzi wa Kiswahili walikutana katika Ukumbi wa Maktaba Mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ili kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo ya Kiswahili. Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ilikuwa “Fursa na Changamoto kwa Maendeleo Endelevu ya Kiswahili. Kwa hiyo, makala 2 za juzuu hili, yaani makala ya kwanza na ya tatu zimetokana na maadhimisho hayo. Makala nyingine zitatolewa katika toleo la 2 la juzuu hilihili.

 

Published

2024-06-30

Issue

Section

Articles