Motifu ya Hirizi katika Ushairi wa Kiislamu wa Kiswahili

Kineene wa Mutiso

Abstract


Katika makala haya nitaangalia matumizi ya hirizi katika tenzi na kasida za Kiswahili zifuatazo: Kasida ya Burudai, Kasida ya Hamziyyah, Utenzi wa Siri li Asirali, Utenzi wa Fatumah, Utenzi wa Mwanakupona, Utenzi wa Rasilghuli, Utenzi wa Tambuka na Utenzi wa Kiatu. Tutaanza kwa kueleza maana ya hirizi, kisha matumizi ya hirizi katika jamii mbalimbali ulimwenguni, halafu mjadala kuhusu hirizi katika jamii ya Waislamu na kumalizia kwa kuangalia matumizi ya hirizi katika ushairi wa Kiswahili.

 


Full Text:

pdf

Refbacks

  • There are currently no refbacks.