Hakimiliki

Hakimiliki © Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kupiga chapa au kutoa makala ya jarida hili kwa njia yoyote ile bila idhini ya mchapishaji, isipokuwa kwa nukuu fupi kwa ajili ya utafiti au matumizi binafsi, mapitio ya kitaaluma au mjadala kwa kuwarejelea waandishi wa makala husika.